By Kajijora

Naomba audio aisha vuvuzela sipendi kugombana

Home About Contact. Jumamosi, 30 Aprili Mkurugenzi wa aljazeera modern taarab "wataalam wa old is gold" mohamedy salim almaarufu "DOT DO" amesema mafanikio huja kwa vitendo na sio maneno maneno yasiyo na muelekeo.

Aisha Vuvuzera Sipendi Kugombana

Aliyasema hayo jana wakati akiwasiliana na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya mtandao wa "imo" tokea oman alipo kwa sasa! Watu niliowaona ambao wamehudhulia show ile ya jana huko tanzania wengine sikutegemea kuwaona kabisa kabisa!

Unknown 0. Ijumaa, 29 Aprili Ile siku iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa taarab asilia "old is gold" hatimae imefika ni leo hii jumamosi ndani ya ukumbi tulivu wa D. Alhamisi, 28 Aprili Mpiga gita la besi mwenye umaarufu mkubwa katika muziki huu wa taarab nchini tanzania mussa mipango almaarufu mussa mussa inasemekana yupo katika mipango ya kurudi tena katika bendi yake ya zamani jahazi modern taarab. Habari zilizotufikia kwenye dawati letu zinasema kuwa kuna mambo yapo nyuma ya pazia kuhusu kurudi tena ndani ya bendi hiyo kwa mussa mipango.

Mussa mipango amekuwa akija katika baadhi ya show zetu na hii ni kawaida kwa wasanii kutembeleana, sio mussa tu wasanii wa bendi mbalimbali wamekuwa wakija na kupiga chombo chochote ambacho anaweza na ndivyo alivyofanya mussa!

naomba audio aisha vuvuzela sipendi kugombana

Mtandao huu ulipomtafuta mussa mipango nae ili azungumzie jambo hili yeye alisema sina la kuzungumza juu ya hilo kwa ushauri tuu unaweza kuwauliza viongozi wa jahazi modern taarab labda watakuwa na lolote la kukujibu. Sisi kama uongozi mzima wa mtandao huu wa ubuyu wa taarab tunasema sio mbaya kwa mussa mipango kurudi tena kundini kwani umuhimu wa mussa mipango ndani ya jahazi modern taarab unafahamika wazi. Jumatano, 27 Aprili Watangazaji wa taarab ndani ya group la whatsap la ubuyu wa taarab hatimae jumatatu ijayo watamuweka kati prince black kopa kwa maswali kadha wa kadha kwani kuna mengi sana yamepita hapa kati yanayomuhusu msanii huyu.

Mikausho Tz

Watangazaji wamekuwa na utaratibu wa kupiga kura ya wazi na wakati mwingine kura ya siri kulingana na mazingira ili kumchagua msanii ambae wao wanamuhitaji awepo ndani ya kikaango kwa siku hiyo ya jumatatu, taarifa zilipomfikia prince black kopa kwamba watangazaji wamemchagua yeye kuwepo ndani ya kikaango kwa jumatatu ijayo, kwanza alishtuka sana na kutaka kukataa lakini alipotajiwa idadi ya watangazaji ambao wapo katika group na wangapi ambao wamempendekeza yeye kuwepo kikaangoni alikubali.

Hivyo basi nikiwa kama admin wa group hilo la watangazaji wa taarab afrika mashariki napenda nimtangaze rasmi kuwa jumatatu tutakuwa nae prince black kopa katika ule utaratibu wetu wa kawaida katika kuuliza na kujibu maswali, tungoje ni nini kitatokea siku hiyo. Mahojiano ya Aisha othman vuvuzela na watangazaji nitayaweka humu muda mchache ujao unataka kujua vuvuzela alizungumza nini? Bendi ya jahazi kolombwe modern taarab siku ya leo jumatano inatarajia kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa bendi hiyo ndani ya ukumbi wa scopion pub mbagala charambe kwa mbiku.

Akizungumza na mtandao huu bora wa taarab nchini mkurugenzi wa bendi hiyo Babu chollo alisema kuwa maandalizi yote yamekamilika na pia amewataka wasanii wote ambao waliwahi kuwepo katika bendi hiyo kipindi cha nyuma basi waje tukate keki kwa pamoja!. Jahazi kolombwe modern taarab kuna A na B lakini kwakuwa leo ni siku maalum kwetu basi bendi zote mbili zitaungana na wadau wetu katika kusherehekea, kikubwa tunaomba wapenzi wajitokeze kwa wingi kwani show itaanza saa moja kamili usiku na kumalizika saa sita usiku alimaliza kwa kusema mkurugenzi huyo.

Jumanne, 26 Aprili Mfanyabiashara wakike ambae huwa anafanya biashara zake kati ya oman na hapa tanzania miss turiplety kama anavyofahamika na wengi, siku ya jumamosi iliyopita ndani ya ukumbi wa D. Akizungumza kwa tabasamu kubwa Turiplety alisema kuwa aljazeera wana vigezo vyote vya kuwa bendi bora ya old is gold hapa dar es salaam kwa sababu wanajitambua sana, waimbaji wao wapo smart, wapiga vyombo wao wote wamevaa sare, nyimbo wanazopiga ni vigumu kuzisikia bendi ingine yoyote ambayo wanapiga kopi za old is gold, wana nidhamu ya kazi na mwisho huu ukumbi ambao wanafanyia show zao upo sehemu tulivu na ni msafi sana, kwa yeyote ambae anatokea oman au nchi nyingine kama mimi sehemu kama hii ni lazima aipende niamini niyasemayo ndugu mwandishi.

Ikumbukwe kuwa bendi ya aljazeera huwa inafanya show zake katika ukumbi huo wa D. Jumapili, 24 Aprili Bendi yako ya G five modern taarab chini ya mkurugenzi wakeHamisi slim au mzee wa "manyamnyam" leo hii imetangaza rasmi show zake tano kwa wiki ambazo zitakuwa zikilindima katika kumbi mbalimbali hapa jijini dar es salaam. Jumapili- Sugar ray kwa sokota. Hizi ndizo show tano maridadi kabisa za bendi hii ya G five modern taarab yenye maskani yake mtoni kwa azizi ally jijini dar es salaam, uongozi mzima wa mtandao huu unapenda kuchukuwa nafasi hii kuupongeza uongozi mzima wa G five modern taarab kwa utendaji mzuri wa kazi zake.

Jina la zubeda mlamali sio geni miongoni mwa majina ya waimbaji wa taarab nchini tanzania, kwa sasa anapatikana katika bendi ya jahazi modern taarab chini ya mkurugenzi wake mfalme mzee yusuph.

Ijumaa, 22 Aprili Akithibitisha kuwepo katika kipengele hicho Aisha alijirekodi "voice note" na kuwatumia watangazaji ndani ya group hilo na pia aliwaambia wandishi wa mtandao huu katika dawati lao kuwa atatoa ushirikiano mkubwa sana siku hiyo ya jumatatu panapo majaliwa yake mwenyezimungu.

Kipengele hiki kimekuwa kikijizolea umaarufu mkubwa kila siku zinavyokwenda kwa sababu wapenzi na wadau wamekuwa wakijua mambo mengi sana yaliyofichika toka kwa wasanii kulingana na maswali ambayo wamekuwa wakiyauliza watangazaji hao, tukutane tena hapa wiki ijayo kwa maswali na majibu kati ya Aisha othman vuvuzela na watangazaji hao!.

Alhamisi, 21 Aprili Akiongea na mwandishi wa habari hizi black kopa alisema kuwa siku ya uzinduzi wa albam ya wakaliwao pale dar live niliingia kama mtoto wa mfalme huku nikilindwa na walinzi wa jumba la mfalme hali iliyowafanya wapenzi na wadau kunipa hongera sana kwa ubunifu wangu. Mtandao huu unawapongeza sana ogopa kopa kwa maandalizi mazuri ambayo wamekuwa wakiyafanya karibu kila siku katika kuelekea siku hiyo ya uzinduzi ndani ya dar live, tunawaomba wadau wajitokeze kwa wingi siku hiyo ya uzinduzi huo.

Unapozungumzia bendi inayofanya vizuri kwa sasa katika miondoko ya "old is gold taarab" ni lazima uitaje aljazeera modern taarab bendi yenye maskani yake kariakoo jijini dar es salaam. Habari ya mjini kwa sasa ni usajili wa nguvu uliofanywa na bendi ya jahazi modern taarab kwa kuwachukuwa waimbaji wawili Aisha vuvuzela na Zubeda mlamali kutoka bendi mbili tofauti, wakati zubeda mlamali anatokea east african melody nae Aisha vuvuzela anatokea wakaliwao modern taradance.Habari kutoka ndani ya Jahazi zimeeleza kuwa, uamuzi wa wasanii hao kuhama, umelenga kuheshimu matakwa ya kiongozi wa zamani wa kundi hilo, Mzee Yussuf, kutaka jina hilo lisiendelee kutumika.

Kwa mujibu wa habari hizo, Mzee Yussuf aliwaeleza wasanii wa kundi hilo kuwa, kuendelea kutumia jina la Jahazi ni sawa na kuendelea kumshirikisha na dhambi wakati alishatangaza kuachana na muziki wa taarab na kumrudia Mungu. Akihojiwa na Uhuru mwishoni mwa wiki, Khadija alikiri kuondoka kwake Jahazi, akiwa amefuatana na wasanii wengine kadhaa.

Alisema wamefikia uamuzi huo kwa sababu kuendelea kwao kuwepo Jahazi ni kuzidi kumpa dhambi kaka yake, Mzee Yussuf. Kwa vile ameamua kumrudia Mungu, tuliona ni bora kikundi kivunjwe ili kuepuka kumshirikisha katika dhambi,"alisema.

Aliongeza: "Nimeondoka Jahazi na kijiji changu. Mfalme Mzee Yussuf alikuwa ndiye kila kitu. Ameondoka na sasa hakuna wa kuiongoza. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Wakali Wao Modern Taladance, Thabiti Abdul, alithibitisha kuwepo kwa muungano kati ya vikundi hivyo viwili.

Thabiti alisema awali, uongozi uliokuwa umebaki Jahazi, baada ya Mzee Yussuf kuachana na muziki, ulimfuata na kumuomba ajiunge na kikundi hicho akiwa ndiye mkurugenzi mkuu. Thabiti, ambaye ni mmoja wa wapiga kinanda maarufu nchini, akitokea bendi ya Twanga Pepeta International, alisema lengo la muungano wao, ambao wameuita kwa jina la 'Mbili kwa moja', ni kuendeleza muziki wa taarab.

Japokuwa ilikuwa ikiendelea na maonyesho, haikuwa Jahazi iliyozoeleka,"alisema.

naomba audio aisha vuvuzela sipendi kugombana

Thabiti alisema mikakati waliyonayo ni kuhakikisha Wakali Wao, kinakuwa kikundi bora na maarufu katika muziki wa taarab nchini kama ilivyokuwa Jahazi enzi za Mzee Yussuf. Lazima tufike kule ilikokuwa Jahazi,"alisisitiza msanii huyo, ambaye pia ni mtunzi mahiri wa nyimbo za muziki huo.

Kwa mujibu wa Thabiti, katika maonyesho yao, watakuwa wakiimba nyimbo zote za Jahazi, zilizoimbwa na wasanii waliopo kwenye kikundi hicho, akiwemo Khadija Yussuf. Thabiti alisema kikundi pekee kilichokuwa kikimuumiza kichwa kilikuwa Jahazi, lakini kwa kuwa hakipo, haoni kikundi kingine kitakachomsumbua. Hata kwenye tuzo za wasanii bora wa muziki wa taarab, tulikuwa tukibadilishana kuzinyakua. Kwa hiyo naweza kusema kuwa, kwa sasa nimebaki peke yangu,"alisema.

Naye Mtoto Pori alisema yeye na wasanii wengine wote kutoka Jahazi, waliojiunga na Wakali Wao, wamefanya hivyo kwa moyo safi, bila kushawishiwa na mtu. Tuliangalia upepo, tukaona ni bora tuondoke,"alisema mwimbaji huyo machachari.

Aliongeza: "Pia, tuliona hakuna anayependa kuwa masikini kwa sababu ni kitu kibaya. Unaamka asubuhi, hujui wapo pa kwenda. Khadija amesema madai hayo hayana msingi wowote kwa sababu asingeweza kufanya kitu kama hicho kwenye msiba na kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Akihojiwa katika kipindi cha Ng'aring'ri, cha Clouds TV leo, Khadija alisema kifo cha wifi yake, Chiku, ambaye ni mke mdogo wa kaka yake, Mzee Yussuph kilimchanganya na kumpa uchungu mkubwa.

Ingekuwa kwenye harusi labda ingeweza kutokea, lakini sio kwenye msiba. Nakumbuka nilimuona kwa mbali wakati anafika, lakini sikumbuki kama alinifuata na kunipa mkono, sio kweli hata kidogo,"amesema Khadija, ambaye alikuwa akiimba kundi moja na kaka yake, Mzee Yussuph na wifi yake, Leila. Khadija amewataka mashabiki wake wapuuze madai hayo kwa kuwa yamelenga kumchafua kwa vile bado anamtambua Leila kuwa ni mke halali wa kaka yake, ikiwa ni pamoja na kuzaa naye watoto wawili.

Aidha, amewataka mashabiki wa muziki huo kumuombea Mzee Yussuph awe na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu, ambacho mkewe amemuachia watoto wadogo wawili. Chiku alifariki dunia wiki iliyopita baada ya kufanyiwa operesheni ya uzazi kwenye Hospitali ya Amana, Dar es Salaam. Mazishi yake yalifanyika kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.

Akizungumzia uamuzi wa Mzee Yussuph kuachana na muziki wa taarab na kumrudia Mungu, ikiwa ni pamoja na kwenda kuhiji Makka, Khadija alikiri kuwa anajisikia kupwaya kwa vile alizoea kuimba naye pamoja. Alisema uamuzi huo wa Mzee Yussuph umemfanya ajihisi upweke kila anapojihusisha na muziki huo stejini kwa vile alimzoea kama kaka, kiongozi na msanii mwenzake. Kwa upande wake, Mzee Yussuph alisema hana hakika iwapo Khadija alikataa kupeana mkono na Leila wakati wa msiba wa mkewe mdogo, Chiku.

Alisema kama ni kweli Khadija alifanya kitendo hicho ni kosa kubwa mbele ya Mungu, hivyo anamuombea msamaha kwake na kwa mashabiki wa muziki huo.Shairi naliandika, Natumai mko poa Izraili amefika, Roho yangu kuitoa Mwito kifo naitika, Meshindwa kujiokoa Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Ni miezi na masiku, Nami nimevumilia Nakumbuka ile siku, Nilipo waingilia Tena mida ya usiku, Nyote mkasubiria Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Saa zenu kwa pamoja, Mlifwata akrabu Kwa sekunde mojamoja, Mkaweza kuhesabu Nne tatu mbili moja, Mkanambia karibu Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Tumekuwa marafiki, Wa kufa na kuzikana Tulogawana riziki, Wala hatukunyimana Hasa wakati wa dhiki, Daima tulifaana Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Vipi leo mwachukia, Kunilani kwa matusi Tangu nilipoingia, Ni mafua na virusi Mwatamani nifukia, Mpate ondoa nuksi Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Serikali zalalama, Mgeni mie sifai Uchumi umeshazama, Benki zinawadai Bidhaa zote gharama, Mpaka mumenikinai Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Kila siku mwanisema, Siwatoki midomoni Awamu yangu si njema, Mwanisuta vigogoni Mwatamani kunitema, Nimewafika kooni Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Nimeshazua vituko, Kuharibu usalama Mvua ya mafuriko, Jijini Dar-es-salama Ardhi mitikisiko, Nyumba zote zikazama Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Kenya moto ukazuka, Afrika mashariki Mabomba kuyazunguka, Watu wengi kufariki Majumba yakaanguka, Kwa wenzetu Uturuki Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Si sahau Zanzibari, Kule pwani kisiwani Kulotokea hatari, Feri kukosa ramani Kuzama kwenye bahari, Kwa kweli ni kisirani Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Uchumi meharibika, Kwa siasa ziso safi Libya imevurugika, Kumpoteza Gadhafi Ikawa ni patashika, Kwa dhuluma na ulafi Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Na Somalia usiseme, Ilikuwa ni balaa Kulipigwa na ukame, Watu wakalia njaa Mnataka mnizime, Kwa kukosa manufaa Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Namaliza msafara, Nilikuwa tu mgeni Mliopata madhara, Mtapata afueni Mliokula hasara, Nasema tena poleni Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Nyote mloathiriwa, Mola awape baraka Ombeni kujaaliwa, kheri nyingi kila mwaka Muzidi kunyunyiziwa, Neema ziso mipaka Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Hivi sasa nawatoka, Bora tu niwaacheni Kuwa nanyi nimechoka, Kwaheri nawaageni Sina budi kuchomoka, Yupo mwengine mgeni Hata hivyo yote tisa, Kumi roho yanitoka. Ninapiga Bismillah, kwa jina lake Mwenyezi Aliyetukuka Mola, Wa pekee aso mwenzi Nitajaribu inshallah,kuelezea mapenzi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Naliona swali gumu, Lilokosa jibu wazi Lataka mtaalamu, Alojaliwa ujuzi Pia mie ninahamu, Kuyaelewa mapenzi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Nimejaribu uliza, Kwa waliofunga ndoa Waweze kuniongoza,Nami nipate kuoa Nikaambiwa tongoza,Mambo yatakuwa poa Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Wanaume tuna tabu, Tutafutao ni sisi Waeza pata aibu, Kwa tamaa kama fisi kwanza piga mahesabu, Usitake vya upesi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Mapenzi yakuridhisha, Kuyapata si rahisi Kwa kweli inatutisha, Na kutupa wasiwasi Maana ndio maisha, Ya kila mtu binafsi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Unaeza kudhania, kwamba umeshampata Mzuri kupindukia,Na wala aso matata Mara ukashitukia,Mwengine kamfuata Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Duniani kuna mambo, Siku hizi mpaka pesa Wanazipenda warembo,Ni mtindo wa kisasa Usije jitoa chambo, Mwishowe ukamkosa Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Tabia zao mabinti,Huwa wana lao lengo Ukifanya utafiti, Utakuta ni waongo Kwanza atakudhibiti, Baadaye ni maringo Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Sio hapa tu mjini, Mapenzi yatuadhibu Mpaka na vijijini, Utaona maajabu Madawa wanaamini, Waganga na matabibu Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Hujasikia walimu, Waitumiao dini?Shairi naliandika, Natumai mko poa Izraili amefika, Roho yangu kuitoa Mwito kifo naitika, Meshindwa kujiokoa Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Ni miezi na masiku, Nami nimevumilia Nakumbuka ile siku, Nilipo waingilia Tena mida ya usiku, Nyote mkasubiria Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Saa zenu kwa pamoja, Mlifwata akrabu Kwa sekunde mojamoja, Mkaweza kuhesabu Nne tatu mbili moja, Mkanambia karibu Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

MWINYIMKUU:- NI KWELI MAINA SI MKE WANGU, TUMEACHANA KWA TALAKA.

Tumekuwa marafiki, Wa kufa na kuzikana Tulogawana riziki, Wala hatukunyimana Hasa wakati wa dhiki, Daima tulifaana Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Vipi leo mwachukia, Kunilani kwa matusi Tangu nilipoingia, Ni mafua na virusi Mwatamani nifukia, Mpate ondoa nuksi Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Serikali zalalama, Mgeni mie sifai Uchumi umeshazama, Benki zinawadai Bidhaa zote gharama, Mpaka mumenikinai Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Kila siku mwanisema, Siwatoki midomoni Awamu yangu si njema, Mwanisuta vigogoni Mwatamani kunitema, Nimewafika kooni Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Nimeshazua vituko, Kuharibu usalama Mvua ya mafuriko, Jijini Dar-es-salama Ardhi mitikisiko, Nyumba zote zikazama Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Kenya moto ukazuka, Afrika mashariki Mabomba kuyazunguka, Watu wengi kufariki Majumba yakaanguka, Kwa wenzetu Uturuki Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Si sahau Zanzibari, Kule pwani kisiwani Kulotokea hatari, Feri kukosa ramani Kuzama kwenye bahari, Kwa kweli ni kisirani Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Uchumi meharibika, Kwa siasa ziso safi Libya imevurugika, Kumpoteza Gadhafi Ikawa ni patashika, Kwa dhuluma na ulafi Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka.

Na Somalia usiseme, Ilikuwa ni balaa Kulipigwa na ukame, Watu wakalia njaa Mnataka mnizime, Kwa kukosa manufaa Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Namaliza msafara, Nilikuwa tu mgeni Mliopata madhara, Mtapata afueni Mliokula hasara, Nasema tena poleni Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Nyote mloathiriwa, Mola awape baraka Ombeni kujaaliwa, kheri nyingi kila mwaka Muzidi kunyunyiziwa, Neema ziso mipaka Hata hivyo yote tisa, Kumi mie naondoka. Hivi sasa nawatoka, Bora tu niwaacheni Kuwa nanyi nimechoka, Kwaheri nawaageni Sina budi kuchomoka, Yupo mwengine mgeni Hata hivyo yote tisa, Kumi roho yanitoka.

Ninapiga Bismillah, kwa jina lake Mwenyezi Aliyetukuka Mola, Wa pekee aso mwenzi Nitajaribu inshallah,kuelezea mapenzi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Naliona swali gumu, Lilokosa jibu wazi Lataka mtaalamu, Alojaliwa ujuzi Pia mie ninahamu, Kuyaelewa mapenzi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Nimejaribu uliza, Kwa waliofunga ndoa Waweze kuniongoza,Nami nipate kuoa Nikaambiwa tongoza,Mambo yatakuwa poa Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Wanaume tuna tabu, Tutafutao ni sisi Waeza pata aibu, Kwa tamaa kama fisi kwanza piga mahesabu, Usitake vya upesi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Mapenzi yakuridhisha, Kuyapata si rahisi Kwa kweli inatutisha, Na kutupa wasiwasi Maana ndio maisha, Ya kila mtu binafsi Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Unaeza kudhania, kwamba umeshampata Mzuri kupindukia,Na wala aso matata Mara ukashitukia,Mwengine kamfuata Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Duniani kuna mambo, Siku hizi mpaka pesa Wanazipenda warembo,Ni mtindo wa kisasa Usije jitoa chambo, Mwishowe ukamkosa Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Tabia zao mabinti,Huwa wana lao lengo Ukifanya utafiti, Utakuta ni waongo Kwanza atakudhibiti, Baadaye ni maringo Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Sio hapa tu mjini, Mapenzi yatuadhibu Mpaka na vijijini, Utaona maajabu Madawa wanaamini, Waganga na matabibu Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako.

Hujasikia walimu, Waitumiao dini? Japo moyo waumia, Usichoke kusubiri Ni kweli umekawia,Vumilia kijasiri Ipo siku nakwambia,Utampata mzuri Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. Nakuleteeni swali, wajuzi wa maarifa, Mlojaliwa akili, na bongo zisizokufa, Muwezao ona mbali, naombeni maarifa, Mapenzi ni kitu gani? Mapenzi ni kitu gani, swali langu nauliza, Kwani yalianza lini, hadi leo yatatiza, Watu kuzama dimbwini, mbona yanawaumiza, Mapenzi ni kitu gani?

Ama kuna tofauti, na yale ya vitabuni, Yetu kizungumkuti, wengi wayalaani, Kwamba raha hawapati, tena humo mapenzini, Mapenzi ni kitu gani? Niliyaanza zamani, nami pia nikapenda, Tena niliyaamini, nazo siku zikaenda, Pamoja nayo imani, mpenzi akanitenda, Mapenzi ni kitu gani?

Aisha Vuvuzela Ukinuna Uwe Na Sababu Mp3 Download Mp3

Walisema kupotea, ndiko kuijua njia, Kidogo nikatulia, maumivu kupungua, Ni kweli niliumia, nikawaza mara mia, Mapenzi ni kitu gani?Chapisha Maoni. Home About Contact. Na pambe za taarab. Mkongwe huyo wa taarab nchini alisema kwamba sipendi kumzungumzia huyo mtu sababu naona kama nampa kiki kutajwa na mtu maarufu kama mimi ila naomba ieleweke kwa wapenzi na mashabiki zangu kwamba sidaiwi chochote na mtu huyo, sina shida ya mashairi, watunzi ninao kibao pia ndani kwangu nina mashairi mengi ambayo sijayaimba hivyo sina muda ya malumbano na mtu!

Takribani wiki tatu sasa mkurugenzi wa fungakazi modern taarab Kapten temba aliandika mitandaoni na kufanya mahojiano na vituo kadhaa vya redio hapa nchini akisisitiza kwamba anamdai khadija omary kopa shilingi laki tatu kama malipo ya mashairi yake manne ambayo alimuandikia malkia huyo katika album mpya ya ogopa kopa classic bendi.

Na hayo ndio majibu ya malkia huyo kwamba hadaiwi chochote na temba!. Marcadores: Habari. Hakuna maoni:. Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni Atom. Usaili wa wasanii wapya wa bendi ya wazawa modern taarab utafanyika siku ya jumatatu saa nne asubuhi Follow Us. Follow by Email. Jumla ya Mara Iliyotazamwa.Ama kweli mapenzi ni kiti cha basi, ukishuka anapanda na kukaa mwingine!

Akifanya mahojiano katika group la whatsap la pambe za taarab siku ya jumatatu iliyopita, mwinyimkuu alikili wazi kumuacha Maina kwa talaka moja na kusema kwa sasa kila mmoja na maisha yake, sipendi sana kuzungumzia matatizo ambayo yalitokea kwenye ndoa yetu mpaka kufikia kuvunjika sababu ni issue yetu binafsi ila kikubwa mashabiki jueni tu kuwa tumeachana kabisa!.

Unajua sisi sio wa kwanza kuachana ingawa inaonekana ni vijana wadogo sana, nimeishi na maina kama mke wangu kwa takribani miaka minne, nahisi palipofikia panatosha kila mmoja aangalie mustakabali wa maisha yake mbele kwa mbele. Kwa sasa nipo huku zanzibar katika bendi ya magereza ingawa sijaajiriwa bado, pia ninae mpenzi ambae nampenda sana anaitwa Husna Hassan chitoto ambae tunaimba pamoja hapa ila yeye ni askari. Mashabiki wangu wasubiri kazi yangu mpya nimefanya hapa ktk bendi ya magereza ambayo nitaitoa hivi karibuni ambayo itaambatana na video kabisa naomba sapoti zenu kama ambavyo mlikuwa mkinisapoti zamani alimaliza kwa kusema.

Mtandao huu unawaahidi tutamtafuta Maina nae kwa upande wake azungumzie hili la kuachana na mumewe analichukuliaje? Chapisha Maoni. Home About Contact. Na pambe za taarab.

naomba audio aisha vuvuzela sipendi kugombana

Marcadores: Habari. Hakuna maoni:. Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni Atom. Usaili wa wasanii wapya wa bendi ya wazawa modern taarab utafanyika siku ya jumatatu saa nne asubuhi Follow Us.

Follow by Email. Jumla ya Mara Iliyotazamwa.Download lagu mp3 Aisha Vuvuzela Mp3 Download gratis. Lagu yang dapat anda download dan dengarkan.

Jika hasilnya tidak berisi lagu yang anda cari, cobalah mencari lagu dengan nama artis atau dengan nama lagu tersebut. Aisha vuvuzela - Mjini nyota official audio Play Download. Aisha Othman Vuvuzela - Sipendi Kugombana. Sipendi kugombana - Aisha Vuvuzela Play Download. Kibaya Kina Mwenyewe feat. Aysher vuvuzela: Nimeburuzwa sana. Play Download. Pencarian Terakhir 30 seconds to mars kings queens cds gnvr wwww pgmmovies hentai sounds pinguin dance avi douglas wesanza karthigai deepam history in tamil language dj wale mera gana baja de video song 30 seconds to mars instrumentals alter bridge come to life lyrics dj lyta mixes download mp3 download dayu ag q a recital download lagu judika aku masa lalu latest popular english songs download mp3 30 seconds to mars hurricane premam mobile movie download vikram thakor song free download 30 seconds to mars hurricane mp3 free download mp3 lagu iwan fals nona craglist.

All rights reserved.